Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA3: Kabla ya July 13 kuja na Everton staa wa zamani wa ManUnited amekuja Tanzania
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Msondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
December 9, 2023
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa
December 8, 2023
Wadau Morogoro wajitokeza kutoa msaada Hanang, RC aipokea
December 8, 2023
‘Wasomi tumieni Elimu kusaidia Jamii’- Mwenyekiti wa Baraza la Elimu ya Watu wazima
December 8, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > PICHA3: Kabla ya July 13 kuja na Everton staa wa zamani wa ManUnited amekuja Tanzania
Sports

PICHA3: Kabla ya July 13 kuja na Everton staa wa zamani wa ManUnited amekuja Tanzania

June 20, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Wiki moja imepita toka tusikie taarifa za staa wa zamani wa Man United anayeichezea Everton kwa sasa Morgan Scheinderlin afunge ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Camille wameamua kuja hooney moon Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Scheinderlin amepost picha na kuthibitisha kuwa yupo Tanzania na mkewe Camille kwa ajili ya hooney moon mbugani, fursa ya watanzania kumuona itakuwa July 13 katika game dhidi ya Bingwa wa SportPesa Super Cup Gor Mahia na timu yake ya Everton uwanja wa Taifa Dar es salaam.

Kama utakuwa unakumbuka Morgan Scheinderlin ambaye ni raia wa Ufaransa anakuwa staa wa tano wa soka kuja Tanzania kutalii katika kipindi hiki kifupi baada ya David Beckham, Mamadou Sakho, Chris Eriksen na Victor Wanyama.

Scheinderlin anacheza nafasi ya kiungo mkabaji na alijiunga na Everton mwaka huu 2017 akitokea Man United, kwa mara ya kwanza Morgan Scheinderlin kuitwa timu ya taifa ya Ufaransa wakubwa ilikuwa 2014.

You Might Also Like

Chelsea wakataa ofa zozote za kumnunua Armando Broja

Ter Stegen afanyiwa upasuaji ‘uliofanikiwa’ kwenye jeraha la mgongo

London kuwa mwenyeji wa tuzo bora za soka za FIFA 2024

Mahakama yamuondoa rais wa shirikisho la soka la Brazil madarakani

Luis Suárez ashinda mpira wa dhahabu kama mchezaji bora wa ligi ya Brazil

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA June 20, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 25: Kutoka kwenye ziara ya Rais Magufuli Pwani
Next Article PICHA 6: Nyumba ya kwanza kuuzwa kupitia Facebook, ukiitaka ni Tsh. 1.33b
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Msondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
Entertainment December 9, 2023
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa
Top Stories December 8, 2023
Wadau Morogoro wajitokeza kutoa msaada Hanang, RC aipokea
Top Stories December 8, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

December 8, 2023
Top Stories

‘Wasomi tumieni Elimu kusaidia Jamii’- Mwenyekiti wa Baraza la Elimu ya Watu wazima

December 8, 2023
Top Stories

Sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya jukwaa la Shuledirect

December 8, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?