AyoTV

Okwi baada ya kupachika magoli mawili nyavuni

on

Jumamosi ya January 18 2018 Simba ilicheza mchezo wake wa 18 wa Ligi Kuu dhidi ya Singida United na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0 kati ya hayo mawili yalifungwa na mganda Emmanuel Okwi ambaye alichelewa kujiunga na timu hiyo kwa siku kadhaa.

Okwi baada ya game aliongea na waandishi wa habari na kueleza kukosekana kwake katika timu kwa siku kadhaa lakini na kufanikiwa kwake kufunga magoli 10 VPL “Club inajua ni kitu gani kilikuwa kimetokea enka zangu zilikuwa na maumivu fulani lakini kwa sasa nimerudi na nipo vizuri”>>Okwi

VIDEO: Simba ilivyoiadhibu Singida United 4-0 leo, magoli yote yapo hapa

Soma na hizi

Tupia Comments