Habari za Mastaa

Trailer na picha 5 za aliyeigiza kama 2Pac kwenye movie mpya ya 2016

on

All eyez on me ni movie mpya ambayo itaanza kuonyeshwa kwenye majumba ya cinema November 2016 ikiwa na uzito wa maisha ya rapper maarufu 2Pac ambaye alifariki September 13 1996.

Jamaa aliyeigiza kama Tupac humo ndani ni Demetrius Shipp Jr ambaye umri wake ni miaka 27 (alizaliwa November 1988)

2 Pac 2

2

22

Actor Usher Raymond IV poses for photographers upon arrival at the screening of the film Hands of Stone at the 69th international film festival, Cannes, southern France, Monday, May 16, 2016. (AP Photo/Joel Ryan)

.

Movie yenyewe hii itaigiza sehemu kubwa ya maisha ya Tupac ambayo watu wanatakiwa kuyajua mpaka kifo chake mwaka 1996, Trailer ndio hii hapa chini nimekusogezea.

ULIMIS KIPISI CHA STAN BAKORA NA BATULI? MUME KAENDA KAZINI WIFE KALETA MCHEPUKO NYUMBANI ALAFU MUME AKARUDI GHAFLA, TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments