Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Mbunge adai Mnyika kavunja kanuni kuvaa nguo za Trafiki Bungeni

on

Mbunge wa Kibamba John Mnyika alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma July 3, 2017 kuchangia muswada wa merekebisho ya sheria za Maliasili na Utalii.

Wakati Mnyika akichangia muswada huo Mbunge wa Ulanga Mashariki Goodluck Mlinga alisimama na kutoa hoja kwamba Mbunge huyo alikiuka kanuni za Bunge kwa kuvaa nguo zinazofanana na za Askari wa Usalama Barabarani.

“Wimbo wa Gospel kupigwa club ndivyo inavyotakiwa” – Angel Bernad 

Soma na hizi

Tupia Comments