Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017
Share
Notification Show More
Latest News
TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017
Sports

Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017

March 21, 2017
Share
1 Min Read
epa05352577 Portuguese soccer player Cristiano Ronaldo gives the thumb up to the press at the departure of the Portuguese national soccer team to France to take part in the UEFA EURO 2016, 09th june 2016 at the General Humberto Delgado airpor of Lisbon. EPA/TIAGO PETINGA
SHARE

Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ureno akiwashinda Pepe huku Renato Sanchez akishinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21.

Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa timu ya taifa ya Ureno aliyowaongoza kushinda michuano ya Euro 2016 Fernando Santos kushinda tuzo ya kocha bora wa mwaka. Hii ni tuzo ya 11 ya Ronaldo toka 2016/2017 baada ya tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wa FIFA aliyoichukua January 9 2017.

Tuzo ya mwanasoka bora wa dunia wa Globe Soccer Award kwa mwaka 2016 inakuwa ni tuzo ya 9 kwa Ronaldo kwa mwaka 2016, baada ya kushinda tuzo za mchezaji bora wa Ulaya, The World Soccer, Four Four Two, Espy, Di Stéfano Award, Goal.com award, FIFA Club Golden Ball na Ballon d’Or.

Fernando Santos
Renato Sanchez

ALL GOALS: Simba vs Yanga February 25 2017, Full Time 2-1

You Might Also Like

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA March 21, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Taarifa aliyoitoa Askofu Josephat Gwajima kuhusu Clouds Media
Next Article HEKAHEKA: Watu wakuta mawe ya makaburini kwenye nyumba zao alfajiri Bagamoyo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
Top Stories September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023

September 30, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

September 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

September 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

September 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?