AyoTV

Kilichonaswa kwenye video Roberto wa ‘Amarulah’ akiwa Mwanza

on

Roberto ni mwimbaji staa kutoka Zambia ambaye amevuka mipaka na hit single yake ya ‘Amarulah‘ ambapo Wabongo hawakumcheleweshea na wakamleta Mwanza Tanzania Jembe Beach, unaweza kutazama ilivyokua hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments