Michezo

VIDEO: TOP 10 ya kadi nyekundu za kizembe walizowahi kuoneshwa wachezaji, huyu kafunga goli halafu kavua nguo

on

Mpira ni mchezo ambao unahusisha mbinu nyingi sana ili kuweza kupata matokeo kwa upande wa wachezaji uwanjani, wakati mwingine timu inapokuwa inaongoza kwa ushindi halafu wachezaji wake wanachelewesha huwa inawaudhi wachezaji wa timu pinzani na wakati mwingine hupelekea kufanya makosa ya kizembe na kuoneshwa kadi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIDEO YA MAGOLI YA AZAM FC VS ESPERANCE APRIL 10 2016, Full Time 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments