Video Mpya

VideoMPYA: Baada ya ukimya wa muda mrefu Ruby kashirikishwa kwenye “Mputa”

on

Msanii kutokea kwenye Bongo Fleva Dashie anakualika kuitazama video ya wimbo wake mpya “Mputa” akiwa kamshirikisha mkali wa vocal Ruby, ambaye hajaziskika kwenye game ya bongofleva kwa miezi kadhaa sasa baada ya kimya chake, bonyeza PLAY kuburudika.

“Akiwa na mnafiki akili zangu ndio zilivyoamka leo”

Soma na hizi

Tupia Comments