Top Stories

USIKU HUU: Bomoa Bomoa yafanyika Soko la Sinza Africasana DSM

on

Ni headlines za soko la Sinza Afrikasana ambapo muda huu zoezi la ubomoaji linaendelea kwenye soko hilo, sasa AYO TV na millardayo.com zimefika ene la tukio na kumpata Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo ambaye amezungumza kuhusu ubomoaji huo unaoendelea usiku huu.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: TAZAMA MWIGIZAJI MKONGWE ‘MASHAKA’ WA KAOLE ALIVYOZIKWA DSM

Soma na hizi

Tupia Comments