Burudani

Sentensi za Ben Pol kuhusu mpenzi wake Anerlisa kwenye LEO TENA Clouds FM

on

NI Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol ambae leo JAN 23, 2020 amefika katika studio za Clouds FM katika kipindi cha Leo Tena, sasa miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni kuhusu mpenzi wake Anerlisa

Mimi na Anerlisa tulikutana mwaka 2018 mwanzoni! Nilikuwa Kenya kikazi tukakutana kwenye Press Conference iliyoandaliwa na rafiki yake! Wakati huo sikuwa namfahamu wala kujia anafanya nini lakini yeye alikuwa ananijua! Tukaongea na tukabadilishana namba na mengine yakafuata. Mwanzo sikuwa na nia ya kimahusiano kwake, nilikuwa navutiwa na vibe lake kwenye stories” -: Ben Pol

Mimi na Anerlisa tuna mipango mingi mbeleni, nishamlipia hadi Mahari lakini sidhani kama nitakuwa sahihi nikitaja ni mahari kiasi gani nimelipa kwao! Tumefanya taratibo zote za kimila nyumbani kwao tumeshakamilisha kila kitu kilichobaki ni zile taratibu za kizungu tu” -: Ben POL

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments