AyoTV

VIDEO: Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 vs Kagera Sugar

on

Siku moja baada ya kamati ya haki na hadhi za wachezaji kukaa kikao na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la Simba kupewa point tatu dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kumchezesha mchezaji Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, leo Simba wametoa msimamo wao juu ya suala hilo.

Simba kupitia kwa afisa habari wao Haji Manara wametoa msimamo wao kuhusiana na suala hilo baada ya kuona kamati ya haki za hadhi za wachezaji inapindisha mambo ikiwemo taratibu kwa mujibu wa Haji Manara, kucheleweshwa kutolewa maamuzi kumezidi kuzua hofu kwa mashabiki wa soka.

VIDEO: Game haikuoneshwa Yanga vs MC Alger, nimeyanasa matukio na goli la Yanga FT 1-0

Soma na hizi

Tupia Comments