Mix

PICHA 9: BMW kutengeneza pikipiki yenye reverse gear na kujua unakoenda

on

Siku za nyuma nilikusogezea story iliyohusu Kampuni ya kutengeneza magari ya Bugatti ya Ufaransa kushirikiana na kampuni ya kutengeneza baiskeli ya PG kwa ajili ya kutengeneza baiskeli ghali zaidi duniani.

Katika hali ya kuonesha ushindani wa kutengeneza bidhaa za kiteknolojia kampuni nyingine ya kutengeneza magari ya BMW ina mpango wa kutengeneza pikipiki ambazo zitakuwa na uwezo wa kujua unakoelekea.

Unaambiwa pikipiki hizo zitakuwa na gia ya kurudi nyuma na siti zake zitakuwa na uwezo wa kujiongeza size kulingana na mtu anayeiendesha.

Nimekuwekea hapa picha za muonekano wa pikipiki hiyo.

Hii imetokea Mwanza ambako TAKUKURU imemkamata Mhandisi wa Jiji FAKE ambaye aliomba rushwa ya Tsh. 200,000!!!! 

Aliyemfukuza Mwizi auawa yeye badala ya Mwizi DSM…kisa? 

Soma na hizi

Tupia Comments