Moja kati ua stori zilizo trend leo March 15 katika soka ni pamoja na hii ya ofisi za makao makuu ya shirikisho la soka Tanzania TFF kufungwa na Yono kwa agizo la mamlaka ya mapato Tanzania TRA.
YONO ambao ni madalali wa mahakama na mawakala wa TRA wamezifunga ofisi za TFF kuagiza maafisa wote watoke nje huku wakiruhusiwa kubaki eneo hilo walinzi na gari binafsi zilizokuwa katika eneo hilo kutolewa njeku tokana na TFF kudai malimbikizo ya kodi na TRA.
ALL GOALS: Simba vs Yanga February 25 2017, Full Time 2-1