Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz leo amehojiwa na LEO TENA ya CLOUDS FM Dar es salaam na kueleza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Mtoto wa Hamisa na amekiri kuwa mtoto wa Hamisa ni wake na ana muhudumia.
“Wakati huo Hamisa anatuma watu waseme Diamond kamtelekeza mtoto, Dahu yule mtoto kabla ya kuzaliwa nimempa milioni 7 kwa ajili ya kununua makolokolo yote ya mtoto, wakati anakaribi kujifungua nilimpa dola 3000 kwa ajili ya kulipia hospital private ajifungue”>>> Diamond
MTOTO WA HAMISA: Diamond kafunguka kuhusu ukimya wake
https://youtu.be/wRvTmsWFZD8