Video Mpya

VideoMpya: Mabibi na Mabwana ni Rayvanny tena..kakuletea ‘Unaibiwa’

on

Mwimbaji kutoka WCB Rayvanny amerudi kwenye TV na hii video mpya inaitwa ‘Unaibiwa’ video hiyo ameitoa siku chache baada ya kutoa audio ya wimbo huo… ukishaitazama hapa chini usisahau kutoa comment yako umeipokeaje.

ULIPITWA? Tazama hapa chini video ya Wabongo walivyotokezea kizamani kwenye party ya Sallam na nguo za nyumbani

Soma na hizi

Tupia Comments