Video Mpya

VideoMPYA: Ni Mimi Mars anakukaribisha kuitazama “Mua”

By

on

Mrembo kutoka Mdee Music ambaye anafanya vizuri kwa sasa Mimi Mars anakualika kuitazama video yake mpya inafahamika kwa jina ‘Mua’ enjoy kuzitazama dakika 3 za video yenyewe na usiache kuandika comment yako Mimi Mars atapika kuzisoma.

VIDEO: MAJIBU YA LINAH BAADA YA KUULIZWA ANAMZUNGUMZIAJE AMINI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments