AyoTV

GOOD NEWS: Yohana wa Serengeti Boys kachukuliwa na Etoile du Sahel ya Tunisia

on

February 2 2017 nimefanikiwa kumpata katika Exclusive Interview mtanzania Yohana Mkomola anayeichezea timu  ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys ambapo amenielezea kuhusiana kupata dili la kwenda kuichezea club maarufu ya soka ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
Mkomola aliitwa kwenda kufanya majaribio na timu hiyo amefuzu? mchongo aliupataje? >>>>>> anajibu Habari hizo ni kweli nilienda Etoile du Sahel kufanya majaribio katika timu yao kwa wiki mbili lakini nilifanya kwa wiki moja na nusu tu nikapata majibu kuwa nimefuzu’
“Walikuwa wananifatilia maana nilivyomaliza mechi na Congo meneja wangu akaniambia kuwa kuna barua imekuja natakiwa kwenda kufanya majaribio Etoile du Sahel ambapo nitajiunga na kikosi chao cha pili chini ya umri wa miaka 20″ – Yohana
Unaweza kumtazama Yohana kwenye hii video hapa chini

ALL GOALS: Serengeti Boys vs Congo Brazzaville Septemba 18 2016, Full Time 3-2 

Soma na hizi

Tupia Comments