Wizara ya Afya imeingia makubaliano na Kampuni ya uzalishaji wa vifaa vya hospitali ya China ili kutengeneza kiwanda kitakachotengeneza vifaa vya upimaji kama MRI na CT Scan nchini Tanzania ili kuboresha sekta ya afya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dr. Mpoki Ulisubisya amesema kiwanda hicho kitakuwa cha kwanza cha aina hiyo barani Afrika na kinatarajiwa kukabili tatizo la upngufu wa vifaa katika hospitali nchini ikiwa ni pamoja kutoa mafunzo kwa Watanzania ili kujenga uwezo wa kuvitumia na kuvitengeneza pindi vinapoharibika.
BREAKING: Aliyemkodia Lissu Ndege kafunguka “Nimesikitika sana”
ULIPITWA NA HII KAULI YA KWANZA YA ZITTO KABWE BAADA YA NYUMBA YAKE KUTEKETEA KWA MOTO? TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI!!!