Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou
Share
Notification Show More
Latest News
Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
August 15, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou
AyoTV

EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou

December 14, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Leo naomba nikusogezee Exclusive TOP 5 ya mishara yao ya kwanza ya mastaa wa soka, katika TOP 5 hii yupo Mbwana Samatta anyechezea KRC Genk ya Ubelgiji, Elias Maguli anayeichezea Dhofar FC ya Oman, Simon Msuva anayeichezea Yanga, Himid Mao wa Azam FC na staa wa soka pekee wa Ligi Kuu Tanzania bara aliyewahi kucheza World Cup na AFCON Vincent Bossou anayeichezea Yanga/Togo.

”Katika soka inatakiwa uwaze kutengeneza au kujenga jina lako kwanza kabla ya kufikiria namna ya kupata pesa, mara ya kwanza nasaini mkataba wangu wa kwanza sikuwa nafikiria sana hela nililipwa dola 100 ni hela ndogo ambayo nilikuwa naweza kununua viatu na nilikuwa nikikaa nyumbani kwa wazazi” >>> Bossou

VIDEO: Ronaldo alivyokabidhiwa tuzo yake ya 4 ya Ballon d’Or 2016

You Might Also Like

Rais Samia afika kwenye kaburi la hayati Magufuli huko Chato

Nick Minaj akataa kuchanjwa chanjo Covid-19, asema “Mtu kawa mgumba”

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”

Picha:Uongozi wa Simba wamzawadia gari Musa Mgosi

Watumishi 9 wasimamishwa kazi (JNIA)

TAGGED: Ayo TV, AyoTV, Stori Pekee
Rama Mwelondo TZA December 14, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Arsenal amekubali kipigo Goodson Park dhidi ya Everton
Next Article VIDEO: Miss Honduras na Miss Mexico wameipata ‘Muziki’ ya Darassa wakiwa Marekani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
Top Stories August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
Top Stories August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
Top Stories August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
Sports August 15, 2022

You Might also Like

Sports

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

August 15, 2022
Sports

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

August 15, 2022
Sports

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

August 15, 2022
Sports

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?