Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kituo cha TV cha Marekani kimeripoti dili la Zlatan kujiunga MLS limekamilika
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Kituo cha TV cha Marekani kimeripoti dili la Zlatan kujiunga MLS limekamilika
Sports

Kituo cha TV cha Marekani kimeripoti dili la Zlatan kujiunga MLS limekamilika

April 4, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Staa wa kimataifa wa Sweden ambaye anaichezea Man United ya England Zlatan Ibrahimovic ni wiki kadhaa sasa amekuwa akihusishwa kuelekea kujiunga na LA Galaxy ya Ligi Kuu Marekani, Zlatan hadi sasa ameichezea Man United game 41 na kuifungia goli 26 akitoa assist 9 katika mashindano yote.

Uvumi wa staa huyo kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kwenda kujiunga na LA Galaxy ya Marekani unazidi kuwa mkubwa kutokana na staa huyo kutosema chochote kuhusiana na msimamo wake licha ya kuwa kocha wa Man United Jose Mourinho mwezi uliyopita alisema wanasubiri maamuzi ya Zlatan.

Kituo cha TV cha Marekani kinachojihusisha na michezo FoxSports kimeandika stori kupitia ukurasa wake wa instagram foxdeportesVerified imethibitika kuwa Zlatan anakuja kutokea Ulaya huku picha yake inayoaminika ya kutengeneza ikionekana kavaa jezi za LA Galaxy.

Kama taarifa za Zlatan Ibrahimovic zitakuwa  za kweli kuwa ataondoka Man United mwisho wa msimu akiwa kamaliza mkataba wake, itakuwa kadumu na Man United mwaka mmoja tu toka ajiunge mwanzoni mwa msimu huu akitokea Paris Saint Germain ya Ufaransa kama mchezaji huru.

ALL GOALS: Taifa Stars vs Botswana March 25 2017, Full Time 2-0

You Might Also Like

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Pep Guardiola awaonya Manchester City dhidi ya mchezo wao jumamosi hii

FA CUP: Haaland hana hofu kwa Man Utd, – Varane

Mashabiki wa soka nchini china kulipa zaidi ya Million 1 kumuona Messi

Rais wa FIFA Gianni Infantino aipongeza Young Africans ,ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/23

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA April 4, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE: Zitto Kabwe anazungumzia kuhusu uteuzi wa Prof. Kitila Mkumbo
Next Article AudioMPYA: Rapper Chemical katuletea hii single yake mpya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?