Habari za Mastaa

VIDEO: Roma na Mkewe kwenye Send Off ya mchumba wa Stamina leo

on

Leo April 27, 2018 mchumba wa mwanamziki Stamina anayefahamika kwa jina la Veronica anafanyiwa Send Off Party inayofanyika mkoani Morogoro ambapo anatokea msanii Stamina huku harusi yao ikitegemewa kufanyika May 5, 2018.

Inasemekana kuwa siku ya ndoa ya Stamina ndiyo siku Rostam watakayo zindua wimbo wao mpya huku wakisindikizwa na msanii Ben Pol. Tazama hapa chini kwa kubonyeza PLAY nimekuwekea video fupi kutoka kwenye Send Off ya mchumba wa Stamina.

Gigy Kajifungua “Huwezi kumuona mwanangu hata kwa Milioni 90”

Irene Kafunguka “Masogange alinilalamikia Rammy anapenda mteremko”

Soma na hizi

Tupia Comments