Michezo

Unayataka matokeo ya Yanga vs Komorozine leo feb 8 2014? yako hapa

on

yangagoli.2jpg
Yani hii nayo ilikua game iliyosubiriwa kwa hamu weekend hii ambapo mpaka mwisho Yanga si wamempiga mtu 7 bila aisee… wafungaji ndio hawa hapa chini kama unavyoona.
Screen Shot 2014-02-08 at 6.15.41 PM

Tupia Comments