Michezo

Eti hii picha inaonyesha njia pekee salama kiafya kwa mashabiki wa Arsenal kutazama mechi zao

on

Screen Shot 2014-02-08 at 7.28.06 PMArsenal wameingia kwenye headlines leo baada ya kupigwa goli 5 – 1 na Liverpool kwenye mechi ambayo nimeshuhudia jinsi ilivyozungumziwa kwenye mitandao ya kijamii na hata wasio mashabiki wa timu hizi mbili.

Tunajua ni kawaida ya mashabiki flani kutengeneza katuni au picha mbalimbali za utani zinazohusu timu mbalimbali za soka ambapo leo imekua ni zamu ya Arsenal.

Mmoja wa watu wangu wa nguvu amenitumia hii picha kwenye instagram eti ikionyesha njia pekee salama kiafya ya kutazama mechi za Arsenal…… daaah!

Msemo mwingine nimeuona kwenye mitandao ya kijamii unasema huu ni usiku wa ‘five star modern taarab’

Tupia Comments