Michezo

Kama mechi ilikupita, nimekuekea video ya magoli yote ya Liverpool vs Arsenal Feb 8

on

Screen Shot 2014-02-09 at 3.50.49 AMNajua kuna uwezekano ulikua mbali wakati mechi hii ikionyeshwa live mtu wangu ndio maana nimekuletea hii video inayoonyesha magoli yote matano dhidi ya moja kwenye mechi iliyochezwa February 8 2014.

Tupia Comments