Habari za Mastaa

Kwenye hii, Jay Z ndio cameraman alafu Beyonce kajitosa

on

Screen Shot 2014-02-09 at 2.13.47 PMYani nguvu ya uhusiano wao na nguvu ya ustaa wao sasa hivi wakifanya chochote au kuonekana popote lazima tu waandishi watawaandika.

Mfano ni baada ya Beyonce kupost hii video ambayo Jay Z ndio aliipiga, yani B alijitosa kwenye maji kuogelea baada ya kuruka kutoka kwenye boti huku Jay Z akimuhesabia.

Tupia Comments