Habari za Mastaa

NOMAA!! Amber Rutty na shela la Million 2 kitaa ‘Mume wangu amenunua’

on

Leo AyoTV na millardayo.com zimefika nyumbani kwakina Amber Rutty ikiwa ni siku ya saba baada ya harusi yake, ambapo ikamshuhudia Amber Rutty akiwa amevalia gauni lake la harusi huku mume wake akiambatana naye pembeni kwa mwendo wa madoido na alipoulizwa kuhusu bei kasema ni ‘Million 2’.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama FULL VIDEO

EXCLUSIVE: Mama Amber Rutty kafunguka mara ya kwanza kuvuja kwa video za utupu

Soma na hizi

Tupia Comments