AyoTV

#AyoTV: majibu ya Jokate kuhusu ishu yake na Wema Sepetu.

on

Screen Shot 2014-02-14 at 10.14.04 AMHii ni Exclusive interview ya AyoTV na Jokate ambae kwenye media nyingine alizungumza kwa kifupi tu kuhusu yeye na Wema Sepetu kupatana na kushiriki pamoja kwenye show aliyoiandaa Wema Arusha.

Hapa Jokate anajibu maswali ya Millard Ayo na kuelezea hii ishu kwa undani zaidi.

Tupia Comments