Habari za Mastaa

Valentine’s day yangu leo ni hapa mtu wangu

on

Screen Shot 2014-02-14 at 10.28.54 AM
Kwenye time hii ambayo Watanzania wameanza kupenda na kuuelewa muziki anaofanya Damian Soul ambae ukali wake mwingine upo kwenye kuimba LIVE on stage, naimani hii ndio itakua sehemu yangu nyingine nitakayohudhuria leo manake najua watu wangu wengi nitawakuta hapa.

Tayari nimeshawanunulia na washkaji zangu watatu tickets pale Triniti Osterbay…..
Screen Shot 2014-02-14 at 10.29.06 AMVipi wewe mtu wangu, leo wapi?

Tupia Comments