Habari za Mastaa

Wakenya wanakuja na hii ya Ikulu sasa hivi. (Trailer)

on

Screen Shot 2014-02-14 at 10.48.55 AMNaambiwa hii itakua ni kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Uigizaji nchini Kenya kwani hii ni series ya kwanza ambayo itaanza kuonyeshwa on Zuku TV ikiwa imeigiza vitu vinavyohusiana na Ikulu ambapo Trailer yake unaweza kuitazama hapa chini.

Screen Shot 2014-02-14 at 10.39.41 AMHii hapa juu ni nyumba waliyoigizia kama Ikulu.

‘State House is an original modern day political drama that traverses the unseen world of the head of state’s residence and office, peeking into an arena that is constantly rife with political intrigue and scandalous relationships. State House follows the servants who run the house, the Comptroller that rules it and the guests, politicians and diplomats that fill its corridors’

Tupia Comments