AyoTV

VIDEO: Harusi ya Mchekeshaji Masanja ilivyokuwa ukumbini…..

on

Ni mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alizimiliki headlines baada ya kufunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica, ndoa hiyo ilifungwa kwenye kanisa liitwalo Mito ya Baraka Dar es Salaam, tazama hii video hapa chini uone ilivyokuwa ukumbini.

ULIIKOSA HARUSI YA MSANII ROMA MKATOLIKI KUANZIA KANISANI MPAKA UKUMBINI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments