Mix

Kuelekea valentine’s day, inabidi uyafate ya hili gari

on

Screen Shot 2014-02-14 at 11.36.30 AMYani chukulia hili gari kama usafiri wako katika kuendesha mahusiano yako na yule mweza umpendae ambapo ndani ya gari kuna familia yako yote na wewe ndie dereva, njia utakayochagua kulipitisha hili gari ndio njia familia yako itapita.

Gari lina matairi yanayokaribia kugusa ardhi…ni kama unaendesha Lamboghini vile…very delicate! endesha gari lako katika njia iliyonyooka utakutana na mabonde na milima lakini usipokwepa hivi na kuingia njia za uchochoroni usikojua kuna matope kiasi gani, basi hii milima na mabonde itapita na njia itaendelea kunyooka.
Baki Njia Kuu, Michepuko Sio Dili
Epuka Ukimwi.

Tupia Comments