Habari za Mastaa

Picha 30 za usiku wa A.M Records club Bilicanas usiku wa kuamkia leo.

on

7Picha ya kwanza na baadhi ya nyingine zinazofata ni za Mirror, msanii ambae yuko chini ya kampuni ya mwigizaji Wema Sepetu.

Huu ni mwaka wa sita toka kuanzishwa kwa A.M Records ambayo Producer Maneke na rafiki yake mkuu aitwae Abuu waliianzisha kwa mtaji wa dola elfu 6 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya milioni tisa za Kitanzania kwa sasa.

Baada ya kusumbuka na computer pamoja na vifaa vingine vya kuungaunga, wawili hawa waliketishwa chini na Baba mzazi wa Abuu ambae walimwambia wanachotaka wao ni kufanya muziki, ndio akawapa huo mtaji.
6

8Mwigizaji Kajala ambae ni rafiki wa Wema Sepetu, alijitokeza kumpa support Mirror akisindikizwa na rafiki zake

9

10

12

13

5

4Huyu ni msanii mpya wa AM Records anaitwa Keizer.

3

Screen Shot 2014-02-17 at 7.28.34 AMAlawi Juniour

Screen Shot 2014-02-17 at 7.30.16 AMMeninah

2Nuhu Mziwanda.

1Jordan kwenye stage

14Nyandu Toz

15

16

17Darasa

18

19Cyrill.

20

21

22Jux

23

24Mwigizaji Riyama Ally ni miongoni mwa waliopanda kwenye stage na kutoa support ya kucheza na Jux baada ya kuguswa na alichokua anaimba.

25

26

27

28

29

30Quick Rocka ndio akamaliza show, hao ni baadhi tu ya walioonekana kwenye stage ila kuna list nyingine itakuja na AyoTV soon mtu wangu.

Tupia Comments