Habari za Mastaa

Kwa wale mliommis Awilo Longomba.

on

Screen Shot 2014-02-17 at 7.44.32 AMAwilo ni miongoni mwa mastaa wa Congo ambao walichukua headlines zaidi ya miaka 7 iliyopita na hits kama ‘Coupe bibamba’ na nyingine ila kwenye hii post ya leo kapewa kolabo na huyu msanii wa Nigeria.

Naambiwa maana ya neno la kinigeria ‘Oshee’ ambalo ndio jina la hii single ni ‘asante’

Tupia Comments