Habari za Mastaa

Baada ya headlines za Lil Kim kuwa mjamzito, mtoto atakaezaliwa amefahamika.

on

Screen Shot 2014-02-19 at 7.22.18 AM
Baada ya stori ya Lil Kim ambae ni rapper mkongwe wa Marekani kuonekana mjamzito, boyfriend wake ambae pia ni rapper Mr. Papers kwenye interview ya hii ishu, amesema wawili hao wanategemea mtoto wa kiume kuzaliwa ndani ya miezi michache ijayo.

Huyu atakua mtoto wa kwanza kwa Lil Kim lakini mtoto wa pili kwa Papers ambae ana mtoto mwenye umri wa miaka minne ambae alimpata na mpenzi aliepita.

Screen Shot 2014-02-19 at 7.26.29 AM

 

Tupia Comments