Habari za Mastaa

Hiki kitendo cha Drake ndio kimeonekana kama dharau kwa Diddy

on

Screen Shot 2014-02-20 at 10.43.46 AM

Drake na Diddy walikua kwenye stage ambapo Drake alikua anaperform ‘worst behavior’ kwenye night club ikiwa ni All-star weekend ambapo ghafla mic yake iliacha kufanya kazi wakati ya Diddy ilikua inafanya kazi hivyo Drake akampokonya Diddy ile yake kikiwa ni kitendo cha haraka bila hata kumpa ishara au kuomba.

Mitandao mbalimbali imeripoti kitendo hicho kama dharau ya Drake kwa mkongwe kama Diddy hata kama Drake ndio yuko juu kimuziki sasa hivi.

Haya hapa chini ni baadhi ya maoni ya fans.

Screen Shot 2014-02-20 at 10.51.33 AM

Tupia Comments