AyoTV

Ninayofuraha kukualika kuitazama video mpya ya Young Killer ‘Mrs super star’ hapa

on

Screen Shot 2014-02-21 at 3.55.05 PMNi video nyingine tena ya mkali mpya kwenye headlines za hiphop Tanzania, Young Killer kutoka Mwanza (88.1 Clouds FM) ambae amedondosha video yake ya ‘Mrs super star’ iliyofanywa na Adam wa Visual Lab, ukisha itazama unaweza kuacha la moyoni kwenye comments hapo chini ili akipita leo usiku Young Killer mwenyewe asome kutoka kwako.

Tupia Comments