Habari za Mastaa

Wale wa Beyonce, hii ni video yake nyingine mpya yaitwa ‘partition’

on

Screen Shot 2014-02-26 at 12.50.49 AMNi yuleyule staa ambae umiliki wake wa headlines kwenye muziki ni mzito kuliko waimbaji wote aliowahi kuwa nao kwenye kundi moja.

Video hii saa kadhaa baada ya kuachiwa tayari ilikua imetazamwa zaidi ya mara laki moja na watu mbalimbali duniani huku comments zikiwa zaidi ya elfu nne.

Tupia Comments