Habari za Mastaa

Pichaz za kilivyohappen kwenye party Club327 Dsm jana usiku!!

on

.

.

Ilikua ni time ya watu wa nguvu kukutana na kuenjoy weekend ambayo kumbukumbu yake imeandikwa na furaha na bata zote zilizotokea ndani ya party The 255 Clique Club 327 Dsm na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mastaa.

Wema Sepetu pamoja na Aunt Ezekiel ni miongoni mwa mastaa waliotokea na kuenjoy na watu wa nguvu, good music pamoja na kupiga picha za kuikumbuka hii siku.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Mtangazaji TBway wa EATV alikua miongoni mwa walioenjoy usiku huu

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

.

.

.

.

.

.

.

.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments