Michezo

Kama ilikupita, hizi picha na video ni za mtoto shabiki wa Neymar alieamua kumfata uwanjani kama hivi

on

Screen Shot 2014-03-07 at 3.59.28 AMKama hii ilikupita, ilikua wakati wa mechi ya South Africa vs Brazil iliyochezwa Johannesburg South Africa ambapo wakati wachezaji wapo uwanjani, alijitokeza mtoto ambae ni shabiki wa Neymar na kutaka kwenda kukutana na staa huyu ila walinzi walimzuia.

Hata hivyo juhudi za walinzi hazikufanikiwa kwani tayari Neymar alishajua akaamua kumfata na kumpeleka mtoto huyu kwa wachezaji wengine wa Brazil ambao walicheza nae kidogo, kumbeba na kumpiga picha na Neymar picha ambayo ilipigwa na David Luiz.

Unaweza kutazama video ya huyu mtoto kwenye mwisho wa hii post ambapo mechi hii ilikua mechi ambayo Brazil walishinda 5-0 huku Neymar akiondoka na hat trick.

Screen Shot 2014-03-07 at 4.02.42 AM

Screen Shot 2014-03-07 at 4.02.18 AM

Screen Shot 2014-03-07 at 4.01.47 AM

Screen Shot 2014-03-07 at 4.01.31 AM

Screen Shot 2014-03-07 at 3.59.00 AMKama unataka usipitwe na stori kama hizi, ungana na millardayo.com na kuwa mwanafamilia kwenye facebook, twitter na instagram kwa jina hilohilo la MillardAyo.

Tupia Comments