AyoTV

VIDEO: “Hivi nyie watu gani, haya ndio malipo kwa Spika?” – Job Ndugai

on

September 14, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai alilazimika kusimama Bungeni Dodoma kujibu baadhi ya hoja zilizotolewa na Wabunge akiwemo Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema aliyelituhumu Bunge kushindwa kugharamia matibabu ya Tundu Lissu.

Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

‘Zitto utanifanya nini? ninaweza kukuzuia usiongee hadi mwisho wa Ubunge wako” – NDUGAI

Soma na hizi

Tupia Comments