Habari za Mastaa

Wanaume juu ya high heels wakicheza nyimbo za Beyonce na Rihanna.

on

Screen Shot 2014-03-08 at 3.45.16 PMWanasema Beyonce ni miongoni mwa mastaa wachache wa muziki ambao wanaongoza kwa kuwa na mashabiki wa kila aina kwa sasa.

Mara nyingi watu mbalimbali duniani wamekua wakitumia mtindo wa kuweka video wakiwa wanadance nyimbo za mastaa kuonyesha uwezo wao ila pia kushawishi uwezekano wa kupata ajira au kualikwa kufanya kazi na staa husika.

.

Tupia Comments