Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mtoto adaiwa kunyonya Maziwa ya Marehemu mama yake bila kujua
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mtoto adaiwa kunyonya Maziwa ya Marehemu mama yake bila kujua
Top Stories

Mtoto adaiwa kunyonya Maziwa ya Marehemu mama yake bila kujua

January 19, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya Ayo TV kuripoti tukio la Mwanamke mmoja aitwae Sabina Barma mkazi wa kijiji cha Saidoda kata ya Ufana kukutwa amefariki dunia ndani kwake huku mwili wake ukiwa na majeraha huku Mume wake akihusishwa na mauaji hayo ya mke wake.

Mashuhuda wa tukio hilo pamoja na Majirani wanasema baada ya kufika nyumbani hapo walikuta mwili wa Mama huyo Kitandani huku mtoto wake mdogo akiwa nayeye Kitandani akiendelea kunyonya kwa Mama yake bila kujua kwamba Mama yake alikwisha kufariki Dunia mpaka pale watu walipokuja kumuondoa mtoto huyo kwenye mwili wa Mama yake.

Mama huyo alifariki ameacha watoto wadogo watano huku mkubwa katika hao akitajwa kuwa na umri wa miaka 7.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA January 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi kwenye tuzo za Kiswahili ‘Prize’
Next Article Kinachoendelea nyumbani kwao Mtanzania aliyefia vitani Urusi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?