Top Stories

Maneno 30 Rais Magufuli ameyaandika kuhusu ‘Siku ya Wanawake’

on

Leo March 8, 2017 ni maadhimisho ya ‘Siku ya Wanawake Duniani’, Rais Magufuli kupitia Twitter ameandika maneno 30 kwaajili kuwapongeza wanawake wote nchini Tanzania kwa jinsi wanavyoiunga mkono serikali yake.

VIDEO: Hatuba kamili ya Rais Magufuli aliitoa February 25, 2017 Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments