Habari za Mastaa

AudioMPYA: Nandy ametuletea hii single yake mpya ‘One Day’

on

Msanii wa kike aliwahi kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Tecno Own Tha Stage na kuibuka kuwa mshindi wa pili, sasa leo Dec 13, 2016 ametuletea hii single yake mpya iitwayo One Day.

Unaweza ukabonyeza HAPA  kuusikilia wimbo huo mpya wa Nandy

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE KWENYE JUKWAA LA AFTER SCHOOL BASH BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments