Stori Kubwa

VIDEO: Mjane anayelalamika kudhulumiwa nyumba na shemeji yake Mbezi

on

Mwanamke mjane Farida Salehe mkazi wa Mbezi B, ameiomba serikali kuingilia kati baada ya kudai kuwa shemeji yake aliyeshirikiana na mtoto wake wa kambo kubadilisha hati ya nyumba ya marehemu mumewe na kisha kuiuza nyumba hiyo kinyemela.

Farida ameeleza kuwa, mumewe Alfred Kyoma alifariki akiwa safarini Bukoba na amemuacha na watoto wawili ambao baada ya kumalizika kwa msiba familia nzima walikubaliana nyumba ipangishwe ili fedha zitakazopatikana ziwasomeshee watoto ambao mmoja yupo kidato cha tano sasa hivi na mwingine cha kwanza.

Bonyeza Play hapa chini kuitazama video…

VIDEO: ‘Kijiji cha Koromije sivyo ambavyo watu wanavyofikiri’ – Mbunge Susanne

Soma na hizi

Tupia Comments