AyoTV

Dakika 7 za Dogo Janja akitangaza maamuzi yake, anarudi Tiptop? kaomba msamaha kwa nani?

on

Screen Shot 2014-03-21 at 5.13.27 AMHii ni Exclusive interview ya Dogo Janja on AyoTV ambayo ameamua kusema ya moyoni kuhusu kilichotokea baada ya kuondoka kwenye kundi la Tiptop Connection pia akaambatanisha na maamuzi yake ya sasa.

Hakuondoka Tiptop vizuri baada ya kumshutumu Madee kutompa pesa za show alizokua anafanya na kwamba alikwenda hata kwenye account yake ya benki na kukuta pesa zote zimechukuliwa.

Kama unapenda matukio kama haya yasikupite ungana na mimi kwenye twitter @millardayo ili uwe na uhakika wa kupata stori mbalimbali zinazonifikia kila siku.

Kwenye hii video hapa chini ndio zilipo dakika 7 za hii ishu ya Dogo Janja.

Unadhani Dogo Janja kafanya maamuzi sahihi? kitu gani unaweza kumshauri yeye na Tiptop?

Tupia Comments