Michezo

Eti Mourinho alishangilia hivi kwenye chumba cha Wachezaji leo… (video)

on

Screen Shot 2014-03-22 at 6.56.26 PMGame ya leo ya Chelsea vs Arsenal imeisha kwa Chelsea kufunga ushindi wa goli sita kwa sifuri ambapo list ya wafungaji na mengine vipo kwenye post iliyopita.

Wakati game hii ikiendelea Football Funnys ambao ni maarufu kwa kupost vituko mbalimbali kuhusu mchezo wa soccer, walipost video ya jamaa mmoja na kusema eti hivi ndivyo kocha wa Chelsea Mourinho alivyosherehekea ushindi wakati wa half time kwenye chumba cha Wachezaji.Screen Shot 2014-03-22 at 7.05.36 PM

Unaweza kutazama video yenyewe hapa chini ambapo vilevile kwa kama unapenda usipitwe na chochote kinachowekwa on millardayo.com karibu ujiunge na twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo manake stori zote zikishawekwa hapa husambazwa kote huko mtu wangu.

Tupia Comments