AyoTV

VIDEO: Waziri Mwakyembe ameguswa na kwenda kumuona staa wa Taifa Stars AFCON 1980

on

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe ameguswa na kwenda kumtembelea na kumjulia hali staa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Jellah Mtagwa.

Jellah Mtagwa ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Taifa Stars kilichocheza fainali za AFCON 1980 kwa sasa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu kiasi cha Waziri Mwakyembe kwenda kumtembelea na kuahidi kutafuta namna ya kumsaidia zaidi kupata matibabu.

VIDEO: Kauli ya Kaseja baada ya kuichezea Taifa Stars baada ya miaka 6

 

Soma na hizi

Tupia Comments