Video Mpya

VideoMPYA: Raper Rosa Rosa Ree anatualika kuitazama ‘Way Up’

on

Raper Rosa Ree ambaye hivi karibu ametoka kutambulisha management yake mpya ambayo ilimzawadia mjengo wa millioni 400 uliopo Dar es Salaam na mwingine South Africa, rasmi ametuleta video ya wimbo wake mpya wa ‘Way Up’ aliomshirikika msanii Emtee. PLAY hapo chini kuitazama..

Clouds Plus yawaunganisha Mastaa na watoto wasiojiweza kufturu pamoja (+video)

VIDEO:Usitegemee kuwaona Dullvan na Jaymond wakifanya haya mwezi wa Ramadhani

Soma na hizi

Tupia Comments