Habari za Mastaa

Zari kwenye penzi jipya amuweka hadharani mwanaume wake, Aunt Ezekiel ashindwa kuvumilia

on

Kutana na headlines za mastaa wakike mmoja kutokea Bongomovie ambaye ni Aunt Ezekiel na mwingine ni mrembo Zari the boss lady ambao wote wawili wameingia kwenye trending baada ya kupost picha za wanaume wanaoelezwa kuwa ndio wapenzi wao wapya baada ya mahusiano yao ya awali kudaiwa kuvunjika.

Bonyeza PLAY hapa chini fahamu zaidi.

Ebitoke amemjibu Gigy baada ya kusema atampa kipigo ‘Akija atadunda yeye’ (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments